Nyumba ya chumba kimoja inapangishwa Kimara Temboni, Dar Es Salaam

Aina
Nyumba
Vyumba
1
Barabara ya Karibu
5km — Morogoro Road
Awali
Inaruhusiwa
Huduma na Sifa
Maelezo
(280,000 × 3) Chumba Sebule Jiko #KIMARA_TEMBONI
Dakika 5 tu kutoka Morogoro Road
Umeme na maji unajitegemea
Parking kubwa sana ndugu mteja
Service charge 20,000
Malipo ya Dalali ni mwezi mmoja
Karibuni sana
Contact:
0654 101710
0787 205300















