Nyumba ya chumba kimoja inapangishwa Magereza, Kilimanjaro

Aina
Nyumba
Vyumba
1
Huduma na Sifa
Maelezo
πHabari zako ndugu mteja wa Nyumba moshi , nakuletea Nyumba ya kupanga ya chumba kimoja cha kulala , sebule na mita yake ya Umeme . Nyumba ni mpya , ipo magereza karibia na Barabara . πKodi 140,000x3 , kuona Nyumba ni 10,000 , MALIPO ya Dalali MWEZI mmoja πNyumba ni mpya na ya kisasa . ππ0672701329ππ #viralvideo #nyumbazakupanga #dalalimoshi_nyumba #100millionsviews #moshirentaladvertising















