Nyumba ya chumba kimoja inapangishwa Tabata Kinyerezi Songas Kinaga Zabika, Dar Es Salaam
Tabata, Dar Es Salaam
5 hours ago
Sh. 190,000/month
Aina
Nyumba
Vyumba
1
Barabara ya Karibu
8minute
Awali
Inaruhusiwa
Huduma na Sifa
Maelezo
Chumba master, sebule na open kitchen inapangishwa bei 190000 kwa mwezi kodi kuanzia miezi 6, umeme na maji unajitegemea, parking kubwa, kutoka kituoni ni dakika 8 hadi 10 hivi, Ni maeneo ya tabata kinyerezi songasi kinaga zabika dar es salaam
Calls/whatsapp au
Service charge tsh 20000
Au malipo ya dalali















