Nyumba ya vyumba vinne inapangishwa Kisiwani, Dar Es Salaam


Kisiwani, Dar es Salaam
2 hours ago
Sh. 1,000,000/month
Huduma na Sifa
Maelezo
NYUMBA ZINAPANGISHWA KIGAMBONI
Location kisiwani
Nyumba ina vyumba vinne vyote master sebule dining na jiko kali inajitegemea
Nyumba iko fenced
Nyumba ina parking
Nyumba ina electric ⚡️
Nyumba ina jitegemea
Asking price Milioni 1 per month
mwezi moja wa dalali kisiwani
Maji unajitegemea
Umeme inajitegemea
Services charge elfu ishilini
Mawasiliano















