Nyumba ya vyumba vinne inapangishwa Miganga, Dodoma

Aina
Nyumba
Vyumba
4
Bafu
5
Barabara ya Karibu
2km
Huduma na Sifa
Maelezo
🏡 Nyumba ya Kifahari Inapangishwa – Miganga, Dodoma ✨
Stand Alone House – 4 Bedroom Classic
🔹 Muundo wa Nyumba:
✅ Vyumba vinne (4) vya kulala, vyote Master
✅ Sebule kubwa na ya kisasa
✅ Dining kubwa
✅ Jiko la kisasa lenye muonekano wa mjini
✅ Public Toilet
💰 Kodi: TSh 1,500,000/= kwa mwezi
🔹 Huduma Zinazopatikana:
💧 Maji ya kisima muda wote
⚡ Umeme upo
🏊 Bwawa la kuogelea (Swimming Pool)
🐟 Bwawa la samaki
🌳 Mazingira ya nje mazuri na tulivu sana
📍 Mahali: Miganga, Dodoma
🛣️ Km 2 kutoka lami (Chidachi)
🏙️ Km 8 kutoka Dodoma Town
Kwa wale wanaopenda kuishi sehemu tulivu, yenye faragha na mazingira mazuri, nyumba hii inafaa zaidi.
📞 Mawasiliano:
0787037986
0757037986
Karibuni Bupalu Real Estate 🏠















