Tafuta

Nyumba ya vyumba vinne inauzwa Kigamboni Fancity, Dar Es Salaam (700 sqm)

video thumbnail
Sh. 155,000,000

Maelezo

🏡 NYUMBA MPYA INAUZWA – KIGAMBON FANCITY

Unatafuta nyumba ya kisasa yenye eneo kubwa na fursa ya biashara? Hii ndiyo chaguo sahihi!

✨ Sifa za Nyumba:

* Vyumba 4 vya kulala
* Vyumba 2 Master
* Sebule kubwa
* Jiko la kisasa
* Eneo la SQM 700
* Frame ya biashara
* Nyumba mpya kabisa, tayari kuhamia
* Mazingira mazuri na mtaa uliopangwa vizuri

📄 Nyaraka: Sales Agreement

📍 Mahali:

* Kilomita 1 kutoka barabara kuu ya lami
* Kilomita 12 kutoka Ferry
* Kilomita 10 kutoka Daraja la Nyerere

💰 Bei: TZS Milioni 155
🤝 Mazungumzo yapo

📞 0769554221

#trendingvideo #istagram #realestateagent #realestateforsale #trendingaudio

Matangazo mengine Kigamboni, Dar Es Salaam

Nyumba ya vyumba vinne inauzwa Kigamboni – Dege, Dar Es Salaam (1500 sqm)

Sh. 150,000,000

For Sale4 beds3 baths1,500 sqmhouse