Nyumba ya vyumba vinne inauzwa Kigamboni Kisalavetu, Dar Es Salaam (700 sqm)


Maelezo
🏡🔥 NYUMBA MPYA INAUZWA – KIGAMBONI, KISALAVETU 🔥🏡
Fursa nzuri ya kumiliki nyumba mpya kabisa katika eneo zuri la Kigamboni – Kisalavetu.
✨ SIFA ZA NYUMBA:
✅ Vyumba 4
✅ Vyumba 2 Master
✅ Sebule na Dining
✅ Jiko
✅ Servant Quarter yenye vyumba 2
✅ Public Toilet ya nje
📐 Ukubwa wa kiwanja: SQM 700
📄 Kiwanja kimepimwa na kina Approved Plan
🏠 Nyumba imekamilika kwa ndani; kinachobaki ni marekebisho madogo nje kama paving na kumalizia Servant Quarter.
📍 UMBALI:
🚗 Mita chache kutoka barabara ya lami
⛴️ Kilomita 10 kutoka Ferry
🌉 Kilomita 10 kutoka Kigamboni Darajani
💰 BEI: TZS MILIONI 175
🤝 Mazungumzo kidogo yapo.
🔥 Nyumba mpya kabisa, eneo zuri na inafaa kwa makazi ya familia.
📞
📍Service Charge 30,000
#trendingvideo #istagram #realestateagent #tanzania #trendingsong
Nyumba kigamboni inzima
Viwanja kigamboni inzima
Beach plot kigamboni inzima















