Nyumba ya vyumba vitano inauzwa Goba kwa Robert, Dar Es Salaam

video thumbnail
Sh. 100,000,000

Aina

Nyumba

Vyumba

5

Ukubwa

1200 SQM

Barabara ya Karibu

200m โ€” Goba/Mbezi

Huduma na Sifa

Hati
Tiles
Jiko
Makabati ya Jiko
Stoo
Feni

Maelezo

NYUMBA MBILI, HATI IPO,TSHS.100 MILIONI,GOBA KWA ROBERT.

Hizi ni nyumba mbilk katika Kiwanja kimoja.
Zipk umbali wa mita 200 tu kutoka Barabara ya Lami ya Goba/Mbezi.

Kiwanja kina ukubwa wa SQM. 1,200.
Umiliki ni HATI (Title Deed) ya Wizara.

Nyumba kubwa ina jumla ya vyumba vya kulala 4,
Vyumba 2 vina Vyoo ndani.
Pia kuna Sebule, Jiko, Dining-room,
Store na Choo cha Familia ndani.

Nyumba ndogo Ina eneo kubwa na ina Chumba 1,
Ambacho ni Masta .Pia ina Sebule na jiko lake.

_______________

ANGALIZO:
Malipo ya Dalali ni 10%
Kuona ni Tshs.50,000.
(Unalipa wewe MNUNUZI)

Tafadhali wasiliana nami iwapo tu unaridhia taratatibu zangu.

+255 714 591 548

________________mpg