Nyumba ya vyumba vitatu inauzwa Buza, Dar Es Salaam (500 sqm)


Buza, Dar Es Salaam
6 hours ago
Sh. 190,000,000
Huduma na Sifa
Maelezo
Nyumba inauzwa ipo buza
Ina vyumba vitatu kimoja master
Sitting room
Dinning room
Kitchen
Toilet public
Mbele ina fremu mbili
Ina hati ya wizara ya ardhi
Ukubwa wa eneo sqm 500
Bei milioni 190 maongezi yapo
Tajir sina la kusema nyumba kali
Vibaya sana mt mzur sana lami nyumba unataka nini tena na maongezi yapo well come???







