Nyumba ya vyumba vitatu inauzwa Buza, Dar Es Salaam
Buza, Dar Es Salaam
1 hour ago
Sh. 60,000,000
Huduma na Sifa
Maelezo
Nyumba inauzwa location chama ya buza ina vyumba 3 vya kulala kimoja master sitting room daining room pablic toilet na jiko bei ml.60 maongezi yapo kidogo karibuni tufanye biashara


