Nyumba ya vyumba vitatu inauzwa Kisesa Center, Mwanza (1302 sqm)







Kisesa, Magu, Mwanza
3 hours ago
Sh. 135,000,000
Aina
Nyumba
Vyumba
3
Ukubwa
1302 SQM
Barabara ya Karibu
500m
Huduma na Sifa
Maji
Umeme
Karibu na Barabara ya Lami
Full Camera
Water Borehole
Maelezo
Ni bonge la mjengo..
Ukubwa wa kiwanja ni sqm 1302
Mjengo unavyumba vitatu sebule jiko stoo nk
Mjengo una full camera, kisima cha maji nk
Mjengo upo mita 500 tu! Kutoka lami
Mjengo upo kisesa center barabara ya kuelekea usagara jijini Mwanza
Mjengo unauzwa milioni 135 cash
(Muhusika kaamishwa kikazi)
Maelezo zaidi nenda WhatsApp 0763 296 711
