Nyumba ya vyumba vitatu inauzwa Kisesa Igudija, Mwanza (600 sqm)

video thumbnail
Sh. 100,000,000

Aina

Nyumba

Vyumba

3

Ukubwa

600 SQM

Huduma na Sifa

Tiles
Stoo
Feni
Tanki la Maji

Maelezo

β€’ NYUMBA INAUZWA 🏠

πŸ“IPO KISESA IGUDIJA MWANZA

πŸ‘‰ Ina vyumba vitatu vyakulala, vyumba viwili ni self, sebule kubwa, dinning, jiko, stoo, public toilet & SimTank

πŸ‘‰ Nyumba Imekamilika kila kitu ndani (Ni Yakuamia)

πŸ‘‰ Ukubwa wa kiwanja ni SQM 600

INAUZWA MILIONI 100 (Maongezi kidogo Yapo)

Piga simu kwa maelezo zaidi: 0754980027