Nyumba ya vyumba vitatu inauzwa Mbagala Chamazi, Dumba, Dar Es Salaam

Chamazi, Temeke, Dar Es Salaam
2 hours ago
Sh. 59,000,000
Aina
Nyumba
Vyumba
3
Maelezo
🔥 NYUMBA INAUZWA – MBAGALA CHAMAZI (DUMBA) 🔥
Bei: Milioni 59 (Mazungumzo yapo)
✔️ Vyumba 3 vya kulala (kimoja Master)
✔️ Sitting Room + Dining Room
✔️ Jiko + Public Toilet
✔️ Uwanjani kuna:
Vyumba 2
Sebule 1 (Master)
💥 Nyumba nzuri kwa makazi + uwekezaji (kupangisha)
📍 Ipo Mbagala Chamazi, Dumba
📞 Kwa maelekezo zaidi: 0683 665504
👉 Njoo site ukague, hii sio ya kukosa!
