Tafuta

Nyumba ya vyumba vinne inauzwa Mbagala Chamazi, Dar Es Salaam

video thumbnail
Sh. 95,000,000

Maelezo

🏡 NYUMBA YA KISASA INAUZWA – MBAGALA CHAMAZI 📍kwa mkongo 🔥

Unatafuta nyumba nzuri ya familia au uwekezaji? Hii hapa nyumba ya kisasa kabisa iliyopo Chamazi, ndani ya mazingira mazuri, salama na yenye maendeleo ya haraka. 🔥

✨ SIFA ZA NYUMBA
✅ Vyumba 4 vya kulala
✅ Vyumba 2 Master Bedroom
✅ Sitting Room kubwa na ya kisasa
✅ Dining Room
✅ Jiko la kisasa pamoja na Store
✅ Public Toilet
✅ Kisima cha maji cha uhakika
✅ Parking kubwa ya magari

📍 Location: Mbagala Chamazi – Dar es Salaam
✅ Dakika chache kutoka barabara ya lami
✅ Hati safi ya serikali ya mtaa
✅ Inafaa kwa makazi au uwekezaji

💰 Bei: Milioni 95 tu
🤝 Maongezi yapo kwa mteja serious

📞 Kwa maelezo zaidi na kwenda site:
☎️ 0683 665504

🔥 Njoo ukague mwenyewe, nyumba ni kali sana na inavutia!

#NyumbaInauzwa #Chamazi #Mbagala #DarEsSalaam #RealEstateTanzania

Matangazo mengine Chamazi, Dar Es Salaam

Nyumba ya vyumba vinne inauzwa Mbagala Chamaz, Dar Es Salaam

Sh. 65,000,000

For Sale4 beds3 bathshouse
Nyumba ya vyumba viwili inauzwa Chamazi, Dar Es Salaam

Sh. 29,000,000

For Sale2 beds350 sqmhouse