Nyumba/Apartment ya vyumba vinne inapangishwa Tabata Kinyerezi Ulongoni, Dar Es Salaam


Huduma na Sifa
Maelezo
Stand alone) Apartment nzuri sana inapangishwa bei 350000 kwa mwezi Kodi kuanzia miezi 6, ina vyumba 4 vya kulala chumba kimojawapo master bedroom, sebule, dining room, kitchen, store na public toilet, kutoka kituoni nyumba ya sita hivi, Located tabata kinyerezi ulongoni dar es salaam
Calls/Whatsapp 0768682919 au 0653233641
Service survey charge tsh 20000
Bila kusahau pesa ya dalali mchina















