Nyumba/Apartment ya vyumba viwili inapangishwa Kibamba, Dar Es Salaam

 media -1
media -1
media -2
media -3
media -4
media -5
media -6
Sh. 250,000 per month

Aina

Nyumba

Vyumba

2

Maelezo

APARTMENT INAPANGISHWA KIBAMBA SHULE 250K

Vyumba 2 vya kulala sebule jiko na public toilet

Kodi 250,000 kwa mwezi × 6 ( hakuna pungufu ya miezi)

Inajitegemea maji na umeme

Umbali km 1.5 barabara ni lami mpaka mlangoni,boda 1000 bajaji 700 ukishuka unapiga teke mlango

Ndani ya fence parking ya kutosha

Kupelekwa kuona nyumba 15000

0679447338
0753454167

Tafuta unachotaka Kibamba, Ubungo, Dar Es Salaam