Tafuta

Ofisi inapangishwa Sinza A, Dar Es Salaam

 media -1
media -1
Sh. 3,000,000/month

Maelezo

🏢 NYUMBA YA OFISI INAPANGISHWA – SINZA A (KARIBU NA MLIMANI CITY)

Unatafuta sehemu nzuri ya kuanzisha au kupanua ofisi yako? Hii hapa nafasi murua kabisa!

🔹 Bei: 3,000,000/= kwa mwezi
🔹 Vyumba 4 vikubwa sana
🔹 Ipo sehemu ya biashara yenye muonekano mzuri
🔹 Inatazama barabara ya lami moja kwa moja
🔹 Inafaa kwa ofisi ya aina yoyote (company, clinic, agency, n.k.)

📍 Location ni prime – karibu kabisa na Mlimani City, mazingira tulivu na yenye mvuto wa biashara

💼 Service Charge: 30,000/=

📞 Call: 0787093748

Usikose nafasi hii – wahi kabla haijachukuliwa!