Tafuta

Kiwanja kinauzwa Kibada, Kigamboni, Dar Es Salaam sqm 1100

video thumbnail
Sh. 100,000,000

Ukubwa

1100 SQM

Huduma na Sifa

Hati
Uzio
Ardhi Iliyopimwa
Service Charge
Fenced

Maelezo

KIWANJA KINAUZWA – KIGAMBONI, KIBADA

🔥 KIWANJA KIMEPIGWA FENSI, TAYARI KWA UJENZI! 🔥

Fursa nzuri ya kumiliki kiwanja katika eneo zuri la Kigamboni – Kibada, linalofaa kwa makazi na uwekezaji.

✨ Sifa za Kiwanja:
✅ Ukubwa: SQM 1,100
✅ Kimepimwa
✅ Kina Hati ya Wizara
✅ Kimepigwa fensi pande zote
✅ Kinahitaji kuweka geti tu na kuanza ujenzi
✅ Mazingira mazuri kwa makazi na uwekezaji

📍 Umbali:
📌 Mita chache kutoka Baba Alami
📌 Kilomita 9 kutoka Ferry
📌 Kilomita 8 kutoka Daraja la Nyerere

💰 BEI: TZS MILIONI 100
🤝 Mazungumzo kidogo yapo.

🔥 Usikose fursa hii! Kiwanja kimekwishawekewa fensi, hivyo unaweza kuanza maandalizi ya ujenzi mara moja.

📞 0769 554 221
📍Service Charge 30,000

#trendingvideo #istagram #realestateagent #tanzania #trendingaudio