Kiwanja kinauzwa Kibada, Kigamboni, Dar Es Salaam (1100 sqm)

Huduma na Sifa
Maelezo
🏝️ KIWANJA KINAUZWA – KIGAMBONI KIBADA USHUANI
📍 Kipo Block 19, Ushuani – Kigamboni Kibada
📐 Eneo: SQM 1,100+
💰 Bei: Milioni 180 (Maongezi kidogo yapo)
✨ Sifa za kiwanja:
🔹 Kipo katikati ya magorofa na mazingira mazuri sana
🔹 Mita 500 tu kutoka barabara kuu ya lami
🔹 Eneo zuri kwa uwekezaji
🔹 Inafaa kujenga apartments, hotel, lodge au nyumba ya kisasa
📞0769554221
#trendingpost #istagram #tanzania🇹🇿 #realestateforsale #trendingaudio















