Kiwanja kinauzwa Kinyerezi Molandege, Dar Es Salaam (800 sqm)

Aina
Kiwanja
Ukubwa
800 SQM
Barabara ya Karibu
1.5km
Huduma na Sifa
Maelezo
🔥 KIWANJA KINAUZWA – KINYEREZI MOLANDEGE🔥
Karibu tajiri! Hapa kuna fursa nzuri ya uwekezaji au makazi.
📍 Location: Kinyerezi – Molandege
✈️ Takriban KM 1.5 kutoka Airport
📍 KM 1 kutoka Mbuyuni
📐 Ukubwa: SQM 800
🛣 Kinatazama barabara ya lami
🏡 Mazingira:
• Mtaa mzuri na uliopangwa
• Majirani wengi wamejenga nyumba za kisasa
• Eneo linaendelea kukua kwa kasi
💡 Matumizi:
Unaweza kutumia kwa:
• Ujenzi wa Apartments
• Lodge / Guest House
• Biashara mbalimbali
• Au kujenga nyumba yako ya makazi ya kisasa
💰 Bei: Milioni 65
📄 Nyaraka: Sales Agreement
📏 Eneo limepimwa tayari
⏳ Mwenye mali yupo tayari kufanya biashara muda wowote.
📞 0688412890 Karibu tuwasiliane tufanye biashara tajiri.
👀 Service charge 30,000/=.




















