Frame inapangishwa Sinza, Dar Es Salaam

Sinza, Ubungo, Dar Es Salaam
22 hours ago
Sh. 200,000 per month
Aina
Nafasi ya Biashara
Huduma na Sifa
Karibu na Barabara ya Lami
Maelezo
🔥 KIBANDA CHA WAKALA KINAPANGISHWA – SINZA 🔥
Unatafuta sehemu nzuri ya kuanzisha huduma za pesa? Hii hapa nafasi yako!
📍 Sinza
💰 Bei: 200,000/- kwa mwezi
📌 Service Charge: 30,000/-
✅ Kibanda kinatizama lami kabisa
✅ Kioo safi na muonekano mzuri
✅ Eneo lenye watu wengi – biashara inatembea
✅ Location kali sana kwa huduma za wakala (M-Pesa, Tigo Pesa, Airtel Money n.k.)
Hii ni sehemu ambayo hautajutia kuwekeza – njoo uanze kupiga hela mapema! 💸
📞 Call: 0787093748
