Duka linauzwa Sinza Makaburini, Dar Es Salaam

Huduma na Sifa
Maelezo
Duka Zuri Sana Linauzwa
Mahali: Sinza Makaburini
Bei: Milioni 14 (Mazungumzo)
☑️Linatizama Lami
☑️Unachiwa Kila Kitu, Kasoro Ac
☑️Kodi: 400k (Ipo Ya Miezi 6)
☑️Umeme Wako, Paved Parking
☑️Ni Fursa Nzuri Sana Kwa Wanaoanza, Na Kufungua Branch.
Gharama Ya Kuoneshwa: 30,000/= (Inalipwa Maramoja Na Itadumu Mpaka Upate)
Bila Kusahau Malipo Ya Dalali Ambayo Ni Kodi Ya Mwezi Mmoja.
Ofisini: Sinza Palestina (Kwa Babu Sea)
Call & Whatsapp: 0764486945
Call: 0682699988
Viwanja Na Office Space Pia Zinapatikana Kwa Size Zote. Karibuni Sana Wateja Wangu🙏
#MasterRealEstate #MasterMijengo #DalaliMasterTz #WhereLuxuryMeetsLifestyle












