Tafuta

Viwanja vinauzwa Kerege Manofu, Pwani sqm 400

video thumbnail
Kerege, Pwani
8 hours ago
Sh. 6,700,000

Ukubwa

400 SQM

Barabara ya Karibu

2km β€” Bagamoyo Road

Huduma na Sifa

Maelezo

Ofa ya sabasabaπŸ“πŸ“ Tupigie simu 0789 100 100 au 0675 200 300.

Tunauza viwanja kwa bei ya ofa.
_
Bei: Vinaanzia Tsh 6,700,000/= hadi 8,700,000/= (million sita na saba hadi milioni nane na laki saba tu). Ofa hii inaisha tarehe 07/07/2026
_
Ukubwa: vinaanzia SQM 400 mpaka 500.
β€”
Viwanja vimepimwa na utapata HATI MILIKI Kutoka Wizarani!
_
Location: Vipo KEREGE MANOFU. Ni kilometa Mbili pekee toka Lami ya bagamoyo road.
NB.Kerege ni mji upo njia ya bagamoyo ukitoka Dar es salaam unaanza mapinga inafata Kerege.
β€”
π‡π”πƒπ”πŒπ€ π™πŽπ“π„ πŒπ”π‡πˆπŒπ” π™πˆπŒπ„π…πˆπŠπ€ π’πˆπ“π„.
🚰 Maji
πŸ’‘Umeme
πŸ›£ Barabara
__

Tupigie simu :
0675-200 300 au 0789-100 100
.............................
Fuatilia ukurasa wetu @vijana_realestate

🏒Tembelea Ofisi zetu: Tegeta Azania, Chief’s House F.No.1

Matangazo yanayofanana Kerege, Pwani

Viwanja vinauzwa Kerege Manofu, Pwani sqm 400

Sh. 6,900,000

For Sale400 sqm
  • Maji

  • Umeme

  • Karibu na Barabara ya Lami

Viwanja vinauzwa Kerege Kilemela, Pwani

Sh. 5,800,000

For Sale
  • Hati

  • Ardhi Iliyopimwa

  • Site Visit Bure

Viwanja vinauzwa Kerege Kilemela, Pwani sqm 400

Sh. 9,000,000

For Sale400 sqm
  • Hati

  • Karibu na Barabara ya Lami

  • Karibu na Barabara

Viwanja vinauzwa Kerege, Pwani

Sh. 9,000,000

For Sale
  • Hati

  • Ardhi Iliyopimwa

Viwanja vinauzwa Kerege, Pwani

Sh. 9,000,000

For Sale
  • Hati

  • Ardhi Iliyopimwa

Kiwanja kinauzwa Kerege, Pwani sqm 1663

Sh. 53,000,000

For Sale1,663 sqm
  • Ardhi Iliyopimwa

Viwanja vinauzwa Kerege Matumbi, Pwani sqm 400

Sh. 13,000,000

For Sale400 sqm
  • Ardhi Iliyopimwa

  • Site Visit Bure