Nyumba ya vyumba viwili inauzwa Kinyerezi, Dar Es Salaam







TANGAZO LA PAGALE LA GOLOFA LINAUZWA LA KUMALIZIA FINISHING TU NI KINYEREZI MWANZO MGUM DAR ES SALAAM-TANZANIA.
BEI:70 MILLION TU (MAONGEZI YAPO NDUGU MTEJA)
SERVICES CHARGE; 30,000 (UNALIPIA MALA MOJA TU)
📍LOCATION: KINYEREZI MWANZO MGUM
📍WILAYA YA ILALA
✅️FULLY DOCUMENTED
📌UKUBWA WA KIWANJA NI SQM 👉1200
🏠SIFA ZAKE:
👉VYUMBA 6 VYA KULALA
👉2 MASTER BEDROOMS
👉SEBULE 2 JUU NA CHINI
👉JIKO 2 JUU NA CHINI
👉DINNING
👉2 STOO
👉2 PUBLIC TOILET
👉MAJI YA DAWASA YAPO
👉UMEME UPO
✨️Hii ni fulsa adimu ndugu mteja nimekuletea pagale LA golofa la kumalizia lipo mtaa mzuri sana panafikika kwa ulahisi kumejengeka sana huduma zote za kijamii zipo Kama Umeme na maji vipo.
KWA MAWASILIANO ZAIDI
CALLS: