Nyumba/Apartment ya vyumba viwili inapangishwa Kimara, Dar Es Salaam







🇹🇿Apartment Classic For Rent ✨️
Zipo 4 Kwenye Fence
#Location: KIMARA KOROGWE
Barabara Ya Zege
#Distance: KM 1.3 Kutoka Morogoro Road
Usafiri 24Hours Bajaji, Dalalada 500, Boda 1000
KODI 500,000 × 6
✅️Sebule Kubwa Sana
✅️Dinning Room
✅️Vyumba VIWILI Vikubwa Vya Kulala
✅️Chumba Kimoja Master
✅️Jiko Kubwa la Kisasa
✅️Public Toilet Nzuri Ipo Ndani 🚻
✅️Fenced
✅️Parking Space Available 🚗
✅️LUKU Independent
✅️Water Independent Yanaflow 24HRS
✅️Reserve TANKS
✅️Good Environment 👍
Service Charge 15,000
#Malipo Ya Dalali Peter Kodi Ya Mwezi Mmoja
CONTACT US
0688 067 289 📞
0714 418 005 WhatsApp