Nyumba ya vyumba vitatu inapangishwa Kimara, Dar Es Salaam







APARTMENT ZINA PANGISHWA KIMARA STOP OVER DK15 KWA MIGUU KUTOKA LAMI.
VYUMBA 3 VYA KULALA KIMOJA MASTER BEDROOM
SEBLE KUBWA SANA
JIKO KUBWA LA KISASA LINA MAKABATI/STOO
PUBLIC TOILET
SLIDE WINDOW
LUKU YAKO
NDANI YA FENCE
PARKING SPACE KUBWA SANA
SERVICE CHARGE 15,000/=
KODI 500,000/=×6
SIMU
+255 684 88 14 29
+255 658 58 64 49
MSHATI