Nyumba ya vyumba vitatu inauzwa Kibaha, Pwani


NYUMBA INA UZWA  KIBAHA KONGOWE 
UKUBWA WA KIWANJA SQMT 1200
BEI MILIONI 88
MAONGEZI YAPO 
VYUMBA 3 VYA KULALA KIMOJA MASTER BEDROOM 
SEBLE KUBWA 
JIKO
PUBLIC TOILET 
CCTV CAMERA 
GARDEN SAFI 
KUNA MABANDA YA KUKU
PAVING BLOCK 
NDANI YA FENCE
PARKING SPACE KUBWA SANA



















