Nyumba inapangishwa Kimara, Dar Es Salaam


250,000
◇◇◇◇
NYUMBA MPYA KABISA INAJITEGEMEA KWENYE FENSI YAKE ILA HAILAZI GARI PARKING IPO
◇◇◇◇◇◇
#SEBULE WASTANI
#CHUMBA MASTER
#JIKO KUBWA LINAFUNGWA KABATI
#TAILZY GIPSAM ALUMINUM SLAIDING WINDOW PAVING BLOCK MAZINGIRA MAZURI
◇◇◇◇◇
#LUKU NA MITER YA MAJI VINAJITEGEMEA MAJI NI DAWASCO YANAFLOW NDANI
◇◇◇◇◇
#LOCATION KIMARA BARUTI DK 10-15 KWA MIGUU KUTOKA MWENDOKASI BAJAJI 500 TU UKISHUKA DK 2 UPO KWENYE NYUMBA BARABARA RAFIKI KWA GARI ZOTE ZA CHINI
◇◇◇◇◇◇
#BEI NI 250,000 KWA MWEZI MALIPO MIEZI 6
0679 956 863
0679 956 863
0696708032