Nyumba inapangishwa Temeke, Dar Es Salaam


Hizi nyumba zipo mbili kwenye compaund Kila nyumba inageth lake lakuingilia moja ndo ipo wazi nyumba ipo temeke jirani na hospital ya temeke inavyumba vitatu kimoja ni master sebule jiko choo Cha pablic bei laki 7 Kwa mwezi Kodi MIEZI 6 mawasiliano
0656386610
0686969954