Nyumba inauzwa Temeke, Dar Es Salaam


📍Nyumba ya Ghorofa (zaidi ya vyumba 6) ipo *TEMEKE (Foma) AREA* inauzwa:
✅Madaktari, Mawakili, Wahandisi, Kampuni na Taasisi mbalimbali wanakuwa wanapenda sana *KUNUNUA* aina hii ya nyumba! Hata kama unao familia kubwa na unahitaji nyumba kubwa sawa karibu kuja kucheki hiyo nyumba!
🏧Lipa TZS 650,000,000 na unakabidhiwa nyumba na hati miliki yake hapohapo!!
🆗Teams zetu za *MAUZO* wapo tayari kuwapeleka wanunuzi site na *team ya mwanysheria* pia wapo tayari kuandaa MKATABA WA MAUZO!!
☎️kwenda kuiona hii Wikendi wasiliana na 0713-671-656 au 0693-167165 au 0686-260-818
📲 WhatsApp +255784747412
🛜 fuata Instagram&fb abmcorealestate abmcotrading #bestTanzaniabroker #mosttrustedTanzaniabroker #wehelpTanzaniaDiaspora #wecanhelpyoubuild followers everyone