Nyumba inauzwa Temeke, Dar Es Salaam







YES YES MABOSS WANGU WA NGUVU LEO NILIKUWA MITAA YA SAKU MZAMBALAUNI JIJI LA DAR ES SALAM WILAYA YA TEMEKE KATA YA CHAMAZI MTAA WA MKONDONGWA
HII NYUMBA KALLI SANA INA UZWA TSH MIL 26 TU
INA NYUMBA VYA KULALA 3 KIMOJA NI MASTER BDROOM INA SITTING ROOM INA DAINING ROOM NA JIKO PAMOJA NA PUBLIC TOILET
INA MAJI NA UMEME UPO WA RUKU UKUBWA WA ENEO SQUARE 280
INA DOCUMENTS YA MAUZIANO YA OFFICE YA SILIKALI YA MTAA
KWA MAELEKEZO ZAIDI NIPIGIE CM AU NICHEKI WHATSAPP 0759 203175
0652618143