Nyumba/Apartment inapangishwa Kimara, Dar Es Salaam







LOCATION: KIMARA BARUTI
.
KODI NI 240,000 KWA MWEZI MALIPO MIEZI SITA
.
NI APARTMENT NZURI INAPANGISHWA
.
SIFA ZAKE
=========
NI CHUMBA MASTER KIKUBWA SEBULE KUBWA JIKO ZURI KUBWA NA PUBLIC TOILET NZUR NDAN UMO UMO
.
IPO NDAN YA FENS PARKING SPACE KUBWA MAZINGIRA MAZURI INA TILLES GYPSUM ALUMINIUM SAFI
.
LUKU SABMITA NA MAJI YAPO DAWASA MASAA 24 YANAFLOW NDANI
.
UMBALI KM 1.8 KUTOKA KITUO CHA MWENDOKAS USAFIRI BAJAJI 700 BODA ELFU MOJA TU MPKA GETIN
.
SERVICHAJ ELFU 15
.
MWEZI MMOJA KWA DALALI PINDI ULIPIAPO NYUMBA
.
CONTACT