Kiwanja kinauzwa Temeke, Dar Es Salaam


Arpatiment zinauzwa arpatiment zipo manispaa ya temeke
Arpatiment zipo 5 ndani ya fensi moja
Ya kwanza inavyumba v3 sebule jiko daining chumba master
Zilizobaki vyumba v2 sebule jiko chumba master
Eneo sqm 1400
Bei mil 140 mazungumzo
Hati week ijayo inatoka yani ipo tayali
arpatiment zipo buza kwa mpalange shule ya msingi km 1 toka barabara ya lami
Karibu mteja kupelekwa 30 elfu
0746 433 854