Nyumba inapangishwa Kimara, Dar Es Salaam







HIO APO CHUMBA SEBLE CHOO JIKO NA PABLICK YA WAGENI.
FULL TAIRIZI JIKONI MAKABATI YAPO IPO NDANI YA FENSI YA WAYA NDANI ZIPO 2.
KILA NYUMBA INAJITEGEMEA UMEME NA MAJI .
NYUMBA IPO KIMARA KOROGWE KILUNGULE BAJAJI 500 UKISHUKA NA BAJAJI DAKIKA 7 BODABODA 1000.
KODI LAKI 2 KWA MWEZI MIEZI 6 SERVES CHAJI 15000.