Nyumba inapangishwa Kimara, Dar Es Salaam







CHUMBA MASTER KIKUBWA SANA KINA PANGISHWA KIMARA SUKA
KODI 100,000X6
KIPO NDANI YA FENSI PARKING SPACE KUBWA SANA
UMEME LUKU YAKO MAJI YANA FLOW NDANI
UMBALI KM 2
BAJAJI 700
BODA 1000
KUONA NYUMBA SERVICES CHARGE NI 15,000
MAWASILIANO 0656623510
WSP 0752436347