Nyumba inapangishwa Temeke, Dar Es Salaam


Aptiment ya vyumba viwili kimoja master jiko pamoja na seble inajitegemea luku pamoja na mita ya maji ndani ya fence kuna nyumba nne gari inapaki ndani ipo temeke pile
Bei 250k kwa mwezi kalibuni wateja wangu