Nyumba inapangishwa Temeke, Dar Es Salaam


Kwa mala nyingine Tena dalali wenu Rick Ross nawapa fursa adimu sana
Uwa vitu kama ivi uwa vina tokea mwezi mala moja tu
Hii nyumba ina uzwa bei nzuri sana tsh million 58 tu
Nyumba nzuri nyumba ipo ndani ya jiji la dar es salaam wilaya temeke kata ya chamaz mtaa wa dovya
Mwenyewe ana shida zake binafsi ana itaji pesa ya araka sana tsh million 58 tu
vyumba vitatu vya kulala kimoja master bedroom ina sitting room ina daining room na jiko pamoja public toilet ina maji na umeme upo wa luku
Ukubwa square miter 400
Ina document ya mauziano ya office ya serikali ya mtaa
chamaz magengeni kuja kwenye hii nyumba ni dakika 7 tu
Contact call 0712531657
#0789731695 whatsapp