Nyumba inapangishwa Temeke, Dar Es Salaam


Apartment hii ya Gorofa inapangishwa maeneo Temeke
Sifa ya apartment Kuna ambayo Ina vyumba.3 (1)masta Sebule na jiko na choo Cha wageni
Apartment bado mpya
Hii ya vyumba 3 kwa mwezi 1 milioni
Kodi miezi 6
Ya vyumba 2 kimoja masta Sebule choo na jiko na public toilet Bei kwa mwezi laki 9
Kwa mahitaji ya hii nyumba nitafute kwa namba 0629956838/0754206815