Nyumba ya chumba kimoja inapangishwa Ubungo, Dar Es Salaam
APARTMENT NZURI YA KISASA INAPANGISWA KODI 250,000X6
LOCATION UBUNGO MAKOKA KWA MKUA
KM2 USAFIRI BAJAJI DALADALA 500
UKISHUKA UNATEMBEA DK 3
SIFA ZAKE
____________
#CHUMBA KIMOJA MASTER KUBWA
#SEBULE KUBWA
#JIKO KUBWA LA MAKABATI
#PABLICK TOILET NJE
#MAJI DAWASA YANAFLOW NDANI
#UMEME LUKU YAKO
#NDANI YA FENSI PARKING SPACE KUBWA PEVING BLOCK ๐ซ
MAWASILIANO
DALALI KIMARA SUKA LEONARD
0719-092747