Nyumba ya vyumba vitatu inauzwa Kinyerezi, Dar Es Salaam
NYUMBA NZURI YA KISASA INAUZWA KINYEREZI KIFURU, DAR ES SALAAM - TANZANIA
Nyumba ya kisasa yenye ubora wa hali ya juu ipo Kinyerezi Kifuru, Dar es Salaam. Inajumuisha:
▫ Vyumba Vitatu vya Kulala - Vyumba viwili vikiwa na bafu (self-contained), na Master Bedroom
▫ Sebule
▫ Chumba cha Kula
▫ Jiko
▫ Stoo
▫ Choo cha Wageni
Ukubwa wa Kiwanja: sqm 500
Hati: Hati ya mauziano ya Serikali za Mitaa, kiwanja kimepimwa na hati miliki itatolewa kwa jina la mnunuzi.
Maji na Umeme: Vipo - Maji Dawasco na umeme vyote vinapatikana.
💰 BEI: TZS 110,000,000 (maongezi yapo)
OSOKONOI SECURES YOUR FUTURE!
Mawasiliano:
• WhatsApp: 0656085955 (WhatsApp only)
• Simu:0772584594
•
Visitation Fee: TZS 30,000