Nyumba ya vyumba vitatu inauzwa Mbezi, Dar Es Salaam
NYUMBA INAUZWA
IPO MBEZI MWISHO MJI MPYA
BEI TSH MILION 85 MAZUNGUMZO YAPO, TOP TOP MIL 70
UKUBWA WA ENEO SQM 500
UMILIKI; MAUZIANO YA SERIKALI YA MTAA
VYUMBA 3 VYA KULALA
CHUMBA KIMOJA MASTER
SITTING ROOM
DINNING ROOM
KITCHEN
PUBLIC TOILET
FENCED AND GATE
MAJI YAPO
UMEME UPO
GHARAMA YA KUPELEKWA SITE KUONESHWA NYUMBA TSH 30000/=
What saapp Number 0689-547258