Nyumba ya vyumba vitatu inauzwa Temeke, Dar Es Salaam
NYUMBA INAUZWA MBAGARA CHAMANZ WILAYA YA TEMEKE
TSH 110,000,000/ MILIONI 110
NYUMBA INA ROOM 3 MASTER 1
INA STINING ROOM
INA DINING ROOM JIKO STOO CHOO NDANI ENEO SQM 600
NYUMBA KALI SANA KUTOKA STENDI DAKIKA MOJA TU UMEFIKA
PIGA SIMU TWENDE SAITI SERVICE CHARGE 30000