Nyumba ya vyumba viwili inapangishwa Ubungo, Dar Es Salaam
NEW APARTMENT NZURI YA KISASA INAPANGISWA 400K X6
ILIPWE LAKI NNE MALIPO YA MIEZI SITA
SIFA ZAKE
#VYUMBA VIWILI VYA KULALA KIMOJA MASTER
#SEBULE KUBWA SANA
#JIKO ZURI LA KISASA
#PUBLIC TOILET YA NDANI
TYRIES GYPSUM MADIRISHA ALUMINIUM NDANI YA FENCE PARKING SPACE IPO PEVING BLOCKS ๐ซ ZITAWEKWA
#UMEME LUKU YAKO
#MAJI MITA YAKO PIA YANAFLOW NDANI
NYUMBA HII IPO UBUNGO MAKOKA KM2 USAFIRI BAJAJI KUTOKA UBUNGO RIVER SAID UKISHUKA UNATEMBEA DK 2
GHARAMA ZA KUONA NYUMBA 15,000 MALIPO YA DALALI MWEZI MMOJA ULIPIAPO NYUMBA