Nyumba ya vyumba viwili inauzwa Kibaha, Pwani




NYUMBA INAUZWA
IPO KIBAHA KWA MATHIAS
BEI TSH MILIONI 45 MAONGEZI YAPO
UKUBWA WA ENEO SQM 500
UMILIKI:MAUZIANO YA SERIKALI YA MTAA
VYUMBA 2 VYA KULALA
KIMOJA MASTER
SITTING ROOM
KITCHEN
STORE
PUBLIC TOILET
PIA KUNA SERVANT COTTAGE YA VYUMBA VIWILI VYA KULALA KIMOJA MASTER KINGINE SINGLE
PUBLIC TOILET YA NJE
GHARAMA YA KUPELEKWA SITE KUONESHWA NYUMBA TSH 30,000/=
PIGA SIMU KWA MAELEZO ZAIDI
0746 433 854