Nyumba/Apartment (Furnished) ya vyumba vitatu inapangishwa Temeke, Dar Es Salaam
Apartment for rent changombe maduka mawili temeke 🇹🇿
Vyumba vitatu kimoja masta bedroom ☑️🏢🏢🏢
Bei USD 1000 Kwa mwezi ☑️
💥 Malipo ata mwezi mmoja wanachukua ☑️
Full furnished ☑️
💥 Kwenda kuona sh elf 30000 tsh☑️
LIFT ipo ☑️
Parking ya kutosha ☑️
Changombe ushuani uzunguni