Nyumba/Apartment inapangishwa Kimara, Dar Es Salaam







180,000 X6. KWAMSUGURI. 0679 956 863
APARTMENT NZURI YA KISASA YA KIBACHELA INAPANGISHWA 180K X 6
๐น๐ฟ KUHUSU MAONGEZI YA MALIPO YAPO YANAONGELEKA NDUGU MTEJA
๐ฅ APARTMENT HII INASIFA KAMA IFATAVYO(SOMA MAELEZO KWA UMAKINI)
#SEBULE KUBWA
#CHUMBA KIKUBWA CHA KULALA
#CHOO CHA NDANI
#LUKU INAJITEGEMEA YENYEWE
#MAJI DAWASA YANATOKA NDANI MASAA 24
โผ๏ธHAKUNA JIKO
#PAVING
#CAR PARKING
๐๏ธAPARTMENT HII IPO KIMARA KWA MSUGURI UPANDE WA KUSHOTO KAMA UNAENDA MBEZI KUTOKA MOROGORO ROAD HADI KWENYE NYUMBA KM1/5 UKIPANDA BAJAJI SH 500 UKISHUKA TUU KWENYE BAJAJI UNATEMBEA DK 2 UPO KWENYE NYUMBA
๐ฐ BEI NI 180K X 6
ILIPWE LAKI 180,000 KWA MWEZI MALIPO YA MIEZI 6
0679 956 863
0759151524
0781 418 437