Nyumba/Apartment inapangishwa Kimara, Dar Es Salaam







APARTMENT NZURI MPYA YA KISASA INAPANGISHWA BEI NI 260,000/= X 6
IMEBAKIA MOJA TUU NDUGU MTEJA
๐ APARTMENT HII INA SIFA ZIFUATAZO
#CHUMBA MASTER BEDROOM KUBWA
#SEBULE KUBWA SANA
#JIKO KUBWA SANA
#PUBLIC TOILET
#LUKU NA MITA YA MAJI DAWASA INAJITEGEMEA
#PARKING KUBWA
#ZIPO APARTMENT 2 TUU KWENYE FENSI MOJA NA HII MOJA NDIO IMEBAKIA
BEI NI 260,000/= X 6
๐ซ๐ซ APARTMENT HII IPO KIMARA TEMBONI UPANDE WA KULIA KAMA UNAENDA MBEZI KUTOKA MOROGORO ROAD HADI KWENYE NYUMBA NI KM 2 USAFIRI NI BAJAJI AU BODABODA NA UPO MUDA WOTE NA NJIA NI RAFIKI KWA AINA ZOTE ZA MAGARI HADI KWENYE NYUMBA
KUONESHWA NYUMBA HII GARAMA YAKE NI SHILINGI ELFU 15 NA UKIIPENDA NYUMBA HII UTALIPIA PESA YA UDALALI KODI YA MWEZI MMOJA
SIMU
+255 684 88 14 29
+255 658 58 64 49
MSHATI