Nyumba/Apartment inapangishwa Kimara, Dar Es Salaam







APARTMENT NZURI YA KISASA INAPANGISHWA
KODI 200,000 ร 6
#SEBULE KUBWA
#CHUMBA MASTER BEDROOM KUBWA
#JIKO KUBWA SANA LAPEMBENI
#PUBLIC TOILET
#LUKU NA MITA YA MAJI DAWASA INAJITEGEMEA
#PARKING KUBWA SANA ๐
#ZIPO APARTMENT 4 TUU KWENYE FENSI MOJA
๐ซ๐ซ APARTMENT HII IPO KIMARA TEMBONI UPANDE WA KULIA KAMA UNAENDA MBEZI KUTOKA MOROGORO ROAD HADI KWENYE NYUMBA NI KM 1,5 USAFIRI NI BAJAJI AU BODABODA NA UPO MUDA WOTE NA NJIA NI RAFIKI KWA AINA ZOTE ZA MAGARI HADI KWENYE NYUMBA
KUONESHWA NYUMBA HII GARAMA YAKE NI SHILINGI ELFU 15 NA UKIIPENDA NYUMBA HII UTALIPIA PESA YA UDALALI KODI YA MWEZI MMOJA
0688 067 289 ๐
0714 418 005 WhatsApp