Nyumba/Apartment ya chumba kimoja inapangishwa Kimara, Dar Es Salaam







Apartment Classic For Rent
Zipo 2 Kwenye Fence
Location: KIMARA STOP OVER
Distance: KM 1 Kutoka Morogoro Road
Usafiri 24Hours Boda 1000 Mpaka Getini
KODI 300,000 × 6
✅️Sebule Kubwa Sana
✅️Chumba Kimoja Kikubwa Master
✅️Jiko Kubwa Zuri
✅️Public Toilet Nzuri🚻
✅️Luku Independent
✅️Water Independent
✅️Yanaflow Jikoni Na Chooni 24HRS
✅️Reserve Tank
✅️Fenced
✅️Parking Space Available 🚗
✅️Good Environment 👍
📌Apartment Inajitegemea Yenyewe Kwenye Geti Lake
For More Informations
0688 067 289 📞
0714 418 005 WhatsApp