Nyumba/Apartment ya vyumba viwili inapangishwa Kimara, Dar Es Salaam







APARTMENT CLASSIC FOR RENT
Zipo 2 Kwenye Fence
LOCATION: KIMARA BUCHA
DISTANCE: DAKIKA 3 KUTOKA MAIN ROAD 🚶🚶
KODI NI 450,000 × 6
📍SEBULE KUBWA SANA
📍VYUMBA VIWILI VIKUBWA VYA KULALA
📍CHUMBA KIMOJA MASTER
📍JIKO KUBWA la KISASA
📍CHOO CHA PUBLIC NDANI 🚻
📍UMEME LUKU INAJITEGEMEA
📍MAJI DAWASCO METER YA MAJI INAJITEGEMEA
📍YANATOKA NDANI 24HRS
📍RESERVE TANK
📍IPO NDANI YA FENCE
📍GOOD ENVIRONMENT 👍
NB: ITAKUWA WAZI 01/03/2025
KUONA NYUMBA Na KULIPIA RUKSA BOSS 💰✍️
KARIBUNI
0688 067 289 📞
0714 418 005 WhatsApp